Ministry of Natural Resources and Tourism Community Based Conservation Training Centre (CBCTC) Likuyu Sekamaganga
Community Based Conservation Training Centre (CBCTC) Likuyu Sekamaganga
LMS
SMIS
Mail
Eng
close
close
Head

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

  1. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii (CBCTC) - Likuyu Sekamaganga anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
  2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti Chuoni jumatatu tarehe 03 Novemba 2025 kwa ajili ya usajili na kuanza masomo. Kwa wanafunzi wanaoendelea wanatakiwa kuripoti Chuoni jumapili tarehe 9 Novemba 2025 kwa ajili ya usajili na kuanza masomo jumatatu tarehe 10 Novemba 2025.

Kuona majina pakua TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO 2025-2026-1.pdf

Posted in News on Oct 29, 2025